Ibara ya 13 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inaonyesha nia ya serikali kuwa na jamii iliyoelemika kisheria na yenye uelewa wa masuala ya kisheria. Hii ni sehemu ya juhudi za kuwapa wananchi nguvu ya kushiriki kikamilifu katika michakato ya kisheria na kuwa na ufahamu wa haki zao na wajibu. #MSLAC #katibayawatu
- Log in to post comments