Haki za ardhi zinafafanuliwa na kusimamiwa na sheria kadhaa. Sheria kuu inayoshughulikia masuala ya ardhi ni, Sheria Na. 4 ya Mwaka 1999. Sheria hii inatoa miongozo kuhusu umiliki wa ardhi, matumizi ya ardhi, na utatuzi wa migogoro ya ardhi. #MSLAC @ikulumawasliano @SuluhuSamia pic.twitter.com/dwg30LqvKZ
— MSLegalAidCampaign (@MsLACampaign) January 17, 2024
- Log in to post comments