Skip to main content

Dhamira ya serikali kuhakikisha kwamba haki za msingi zilizowekwa na Katiba ya Tanzania zinawafikia Watanzania wote kwa usawa

Submitted by admin on 5 September 2024

Hii inalenga kupunguza pengo la haki linalosababishwa na tofauti za kiuchumi na kijamii, na kuimarisha utawala bora na haki katika taifa. 

#MSLAC