Skip to main content

ELIMU NA MSAADA WA SHERIA UNAOTOLEWA NA MSLAC YAONGEZA UELEWA MPANA KWA WATANZANIA JUU YA HAKI ZAO

Submitted by admin on 4 August 2024

Wananchi wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu haki zao za kisheria na jinsi ya kuzilinda. Maonesho ya Nane Nane yanatoa fursa ya kipekee kwa wananchi kupata elimu ya sheria moja kwa moja kutoka kwa wataalamu.