Skip to main content

HAKI ZAKO NDANI YA KATIBA YA TANZANIA

Submitted by admin on 15 July 2024

Katiba ya Tanzania inaweka bayana haki mbalimbali za raia. Hizi ni pamoja na haki za msingi kama haki ya maisha, uhuru wa kujieleza, haki ya kuabudu, haki ya kupata elimu, na haki ya kumiliki mali. Ni muhimu kujua haki zako hizi ili uweze kutambua kama zimekiukwa. #MSLAC