Skip to main content

HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA NI BURE KATIKA MAONESHO YA NANE NANE, NI FURSA KWA WANANCHI WOTE

Submitted by admin on 4 August 2024

Kupitia maonesho ya Nanenane Wananchi Wanapata nafasi ya kushauriana na wanasheria bila gharama yoyote, jambo ambalo ni msaada mkubwa kwa wale ambao hawawezi kumudu gharama za huduma za kisheria.