Skip to main content

Ibara ya 107A: Inatoa haki ya kila mtu kupata haki kwa wakati na kwa ufanisi.

Submitted by admin on 22 October 2024

Bila msaada wa kisheria, watu wasiokuwa na uwezo wa kifedha wanakosa fursa ya kujitetea au kuwakilishwa vizuri mbele ya vyombo vya sheria, jambo ambalo linaweza kukiuka haki zao za msingi. #MSLAC