Pata haki yako na suluhisho la haraka! Wasiliana nasi kupitia namba 0262160360. Huduma zetu za msaada wa kisheria ni BURE kwa wote wenye uhitaji.
Usikose nafasi ya kupata ushauri na msaada wa kisheria kwa masuala ya ardhi, Unyanyasaji, mirathi, biashara, ndoa, mikataba, na zaidi.
Get your rights and a quick solution! Contact us through 0262160360. Our legal support services are FREE to all in need.
Don't miss the opportunity to get legal advice and support on issues of land, Assault, inheritance, business, marriage, contracts, and more.
@samia_suluhu_hassan @dr_philip_isdor_mpango @tulia.ackson @hakingowinews @prof.kabudipjam @katibanasheria_ @ester_msambazi @natures_itself #MSLAC #Katibanasheria #ikulumawasiliano #matokeochanya