Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia imeleta matumaini mapya Ya Haki kwa Watanzania Hasa Kwa Wanawake na watoto nchini, kuhakikisha haki zao zinaheshimiwa na kulindwa.
Kwa Sasa Kampeni Hii Ipo Ndani Ya SabaSaba , Karibu upate Huduma za Msaada wa Kisheria Bure!