Skip to main content

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) inashughulikia migogoro ya kijinsia kwa kufuata haki, sheria, na amani

Submitted by admin on 14 August 2024

MSLAC pia inatoa msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa waathirika wa unyanyasaji, ili kuwasaidia kurejea katika maisha yao ya kawaida.#MSLAC #Katibanasheria