Skip to main content

Karibu kwenye Maonesho ya Nane Nane mjini Dodoma!

Submitted by admin on 2 August 2024

Tunakualika kutembelea banda la MSLAC na kupata msaada wa kisheria bure. Ni fursa ya kipekee kwa wananchi wote kupata ushauri na msaada wa kisheria kwa masuala mbalimbali. Karibu tujenge Tanzania yenye haki na usawa. #MSLAC