Skip to main content

Katika jitihada za kuimarisha upatikanaji wa haki kupitia msaada wa kisheria, viongozi wa dini kutoka Kata ya Kitema mkoani Kigoma wameonesha mwitikio chanya na shauku kubwa baada ya majadiliano na timu ya watoa huduma za msaada wa kisheria