Skip to main content

Katika juhudi za kuhakikisha haki na usalama kwa wananchi, serikali imeweka sheria na taratibu za kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia

Submitted by admin on 19 July 2024

Sheria hizi zinatoa msaada wa kisheria kwa waathirika wa unyanyasaji wa kijinsia, wakiwemo wanawake, watoto, na wazee.

 #MSLAC #Katibanasheria