Skip to main content

KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI MKOANI SIMIYU

Submitted by admin on 1 December 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, imeadhimisha Siku ya Ukimwi kwa mafanikio makubwa, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuhamasisha mapambano dhidi ya janga la Ukimwi na ukatili wa kijinsia. Katika maadhimisho hayo, Maafisa wa Dawati la Msaada wa Kisheria walitoa elimu ya kina kwa wananchi kuhusu kupinga ukatili wa kijinsia pamoja na kuwaelimisha juu ya msaada wa kisheria kupitia kampeni ya "Mama Samia Legal Aid Campaign". 

#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya