Skip to main content

Kondoa, 14 Februari 2025 – MSLAC Imefanikiwa kutoa elimu ya kina kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia na haki za mtoto katika Shule ya Msingi Ubembeni, iliyopo katika Kata ya Chemchem, Halmashauri ya Mji wa Kondoa

Submitted by admin on 15 February 2025

Image

Elimu hiyo ililenga kuwajengea uelewa wanafunzi, walimu, na jamii kwa ujumla kuhusu umuhimu wa kulinda haki za watoto na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia. Maafisa hao walieleza aina mbalimbali za ukatili, athari zake, na hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuhakikisha usalama wa watoto na jamii nzima.  

Image #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini