Skip to main content

Kwa upande wake Msajili wa watoa Huduma za Msaada wa Kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Ester Msambazi amewataka maafisa hao kuendelea kusimama kwa pamoja ili kuhakikisha haki za wananchi zinapatikana kwa wakati.