Skip to main content

Lengo la MSLAC ni kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wote na utendaji kazi wa mfumo wa sheria kwa ufanisi na usawa huchangia katika kudumisha amani na utulivu katika jamii

Submitted by admin on 21 July 2024

Wananchi wanapopata haki zao, wanakuwa na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi.