Skip to main content

Leo ni siku ya maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru maafisa dawati wa msaada wa kisheria pamoja na watumishi mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya iringa

Submitted by admin on 9 December 2024

Maadhimisho haya yamefanyika kwa kushiriki kufanya usafi katika Hospitali ya wilaya ya frelimo iliyopo katika kata ya mwangata mtaa wa muungano. 

Hakika imefana sana! 

Viongozi mbali mbali wameshiriki ikiwa mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya iringa, das, jeshi la polisi,magereza , uhamiaji n.k@ikulumawasliano@SuluhuSamia@Sheria_Katiba