Na kufanikiwa kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia, haki za watoto na haki za makundi mbalimbali kwa wanafunzi wa shule hiyo. Pia tulipata wasaa wa kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wazazi.
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #matokeochanya #sisinitanzania #SSH