Skip to main content

Maafisa maendeleo ya jamii dawati la msaada wa kisheria manispaa ya Mtwara wakitoa Elimu ya msaada wa kisheria, Ukatili wa kijinsia na haki na wajibu wa mtoto katika shule ya sekondari Tandika iliyopo kata ya Tandika