Skip to main content

Maafisa maendeleo ya jamii dawati la msaada wa kisheria wapata wasaa wa kutembelea Shule ya sekondari Mvuha iliyopo kata ya Mvuha kijiji cha Mvuha katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro.

Submitted by admin on 6 December 2024

Kutoa Elimu ya Kampeni ya Mama Samia Msaada wa Kisheria na kupinga Unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa Watoto: Wanaume na wanawake na namna ya kutoa taarifa juu ya vitendo hivyo.

@sisiniTanzania@ikulumawasliano@SuluhuSamia@matokeochanya@EsterMsambazi