Skip to main content

Maafisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro walipata nafasi muhimu ya kutoa elimu juu ya ukatili wa kijinsia pamoja na msaada wa kisheria kwa wananchi na wanafunzi katika Kata ya Mvuha