Kupitia juhudi hizo, mwananchi mmoja ameunganishwa na mwanasheria atakayemsaidia kutatua suala lake kisheria. Hii ni hatua kubwa katika kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.