Skip to main content

"Machifu! Tusiwe na maamuzi ya uvunjaji wa sheria, haki na amani, hatutaki tufikie huko sitapendezwa kuona polisi wanakuja kumkamata chifu anayeheshimiwa kwenye jamii kwa kuvunja sheria za namna hiyo." @samia_suluhu_hassan