Skip to main content

Msaada wa kisheria kwa kila Mtanzania ni mpango maalum ulioanzishwa na serikali ili kuhakikisha kwamba kila mwananchi, bila kujali hali yake ya kiuchumi au kijamii, anapata haki na usaidizi wa kisheria anapouhitaji

Submitted by admin on 17 July 2024

Mpango huu unalenga kuongeza upatikanaji wa haki.

#MSLAC