Skip to main content

MSLAC CHINI YA RAIS SAMI SULUHU HASSAN YATATUA KESI YA MIAKA MITATU ILIOPITA.

Submitted by admin on 20 June 2024

Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kusaidia wananchi wa Tanzania kwa kutuma vyombo vya dola. Vyombo hivi vimeweza kutoa msaada muhimu kwa jamii, hasa kwa watu kama huyu mama aliyeweza kunufaika.