"Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inafanya vizuri katika usimamizi wa sheria na haki chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kituo hiki kinalenga kutoa msaada wa kisheria kwa watu wenye mahitaji, kuhakikisha upatikanaji wa haki na ustawi wa jamii kwa ujumla, kulingana na malengo ya serikali ya Tanzania katika kukuza haki za binadamu na maendeleo endelevu." ACP ISSAYA MWANGA.