Skip to main content

(MSLAC), inaleta fursa muhimu kwa wananchi kupata msaada wa kisheria bila malipo

Submitted by admin on 12 August 2024

Kampeni hii inalenga kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi, hususan katika masuala yanayohusu migogoro ya ndoa, Ardhi, mirathi, na kusimamia haki dhidi ya unyanyasaji katika jamii.

 #MSLAC