Skip to main content

MSLAC inatoa elimu ya kisheria kwa wananchi kuhusu haki zao za kikatiba na sheria zinazowalinda, ikiwemo sheria za ardhi, haki za wanawake, watoto, na makundi maalum.