Skip to main content

MSLAC inatoa msaada muhimu kwa wananchi katika kushughulikia migogoro ya ndoa kwa mujibu wa sheria

Submitted by admin on 12 August 2024

Lengo kuu ni kuhakikisha kwamba haki, usawa, na heshima vinazingatiwa katika masuala ya ndoa, na kwamba kila mwananchi anaweza kufikia haki bila vikwazo vyovyote. #MSLAC