Skip to main content

MSLAC Inatoa msaada Wa Kisheria katika kutatua migogoro inayohusiana na ugawaji wa mali za marehemu, iwe ni kati ya warithi au kati ya warithi na wadai wa marehemu.

Submitted by admin on 13 September 2024

Msaada huu unaweza kutolewa kwa njia ya usuluhishi au kuwakilisha wahusika katika vyombo vya kisheria. 

#MSLAC