Moja ya malengo makubwa ya Kampeni Ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, ni kulinda haki za wanawake na watoto, kwa kutoa msaada katika kesi zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia, haki za urithi, ndoa, na talaka.
Kila Mtoto Anahaki , Kulingana na katika ya Tanzania...