Skip to main content

MSLAC tupo viwanja vya 77 kukuhudumia.

Submitted by admin on 5 July 2024

Tunatoa msaada katika masuala ya migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi, ukatili wa kijinsia na mambo mengine yote yanayohitaji msaada wa kisheria. Fika kwenye banda letu upate huduma hizi bure na kwa uhakika! #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu