Skip to main content

MSLAC yamfuta machozi mjane. Faraja kwa wajane waopitia changamoto za mirathi.

Submitted by john on 17 January 2024

Sheria za mirathi nchini Tanzania zinalenga kuhakikisha haki sawa na haki za kibinadamu katika mchakato wa mirathi. kushughulikia migogoro, na kuhakikisha kuwa mchakato wa kurithi unafanyika kwa haki na kwa mujibu wa sheria. MSLAC yamfuta machozi mjane. Faraja kwa wajane waopitia changamoto za mirathi.