Skip to main content

MSLAC YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA WA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA NAMNA BORA YA KUTOA ADHABU MBADALA

Submitted by admin on 19 June 2024

Kampeni ya Msaada wa Kisheria Ya Mama Samia , yatoa mafunzo kwa maafisa wa jeshi la polisi na magereza namna bora ya Kutoa adhabu mbadala kwa watuhumiwa kwa kuzingatia haki na Sheria za kibinadamu.