Skip to main content

MSLAC YAWA MKOMBOZI KWA WATANZANIA WASIOWEZA KUMUDU GHALAMA ZA KISHERIA

Submitted by admin on 8 July 2024

MSLAC inashirikiana na mashirika mengine ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali ili kutoa msaada wa kina na endelevu kwa wananchi. Hii inahakikisha kwamba msaada wa kisheria unaotolewa ni wa hali ya juu na unafika kwa wale wanaouhitaji.