Sheria inalinda haki za watu na kuwapa fursa sawa mbele ya sheria. Kwa msaada wa kisheria, wananchi wanajengewa uwezo wa kujua na kudai haki zao.