Waziri mpya wa Katiba na Sheria JUMA HOMERA ameapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na vyombo vya ulinzi na usalama