MSLAC Ilifanikiwa kufika Kata ya Mamba-Myamba Kijiji cha Myamba, na kutoa elimu juu ya msaa wa kisheria wa Mama Samia. Nakufanikiwa kutatua mgogoro wa mirathi uliodumu kwa miaka Minne. Kutoa elimu juu ya masuala ya ukatili wa kijinsia, mirathi, Ardhi, na umuhimu wa vyeti vya kuzaliwa
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya




 
        
     
 
 
 
 
 
