https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/09/uzinduzi-wa-kituo-cha-huduma-kwa-mteja.html…
Ikiwa unakabiliwa na changamoto za kisheria kama migogoro ya ardhi, masuala ya mirathi, ndoa, au masuala yoyote yanayohusiana na haki zako, usisite kuwasiliana na huduma kwa wateja kupitia simu yako ya Mkononi na njia za mtandao.
#MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya