Skip to main content

Wananchi wa Kijiji cha Mlindikwa, Kata ya Nkandasi, Halmashauri ya Nkasi mkoani Rukwa, wamepatiwa elimu ya msaada wa kisheria ili kuwasaidia kushughulikia changamoto mbalimbali zinazowakabili