Skip to main content

WANANCHI WAFURAHISHWA NA HUDUMA ZA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

Submitted by admin on 7 August 2024

Wananchi wameonyesha kuridhishwa na huduma za kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia. Fika katika banda letu lililopo maonesho ya Nane Nane ili kupata huduma za msaada wa kisheria bure. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #KaziIendelee