Skip to main content

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amezindua mafunzo kwa Wasajili Wasaidizi wa Huduma za Msaada wa Kisheria na kuwataka wasajili kuhakikisha huduma za msaada wa kisheria zinawafikia watanzania