Skip to main content

BARUA NYINGI SANA ZA KUOMBA MSAADA WA KISHERIA ZIMENIFIKIA. KM. KATIBA NA SHERIA, - ELIAKIM MASWI

Submitted by admin on 24 July 2025

Katika Kongamano la Msaada wa Kisheria la mwaka 2025 lililofanyika jijini Arusha, Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Chacha Maswi, amefichua ongezeko kubwa la barua za wananchi wanaotafuta msaada wa kisheria kutoka Serikali.

Akizungumza mbele ya wadau wa sekta ya sheria kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, Maswi alisema barua hizo ni kielelezo cha kiu kubwa ya haki na uhitaji wa msaada wa kisheria nchini, hasa kwa wananchi waishio maeneo ya pembezoni.

🔹 Fahamu zaidi kuhusu mafanikio ya kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC)

🔹 Jitihada za Wizara kuboresha huduma kwa kutumia TEHAMA

🔹 Mipango ya kuongeza vituo na rasilimali kwa ajili ya msaada wa kisheria

🎥 Tazama video hii kujua hatua zinazochukuliwa na Serikali kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.

#MSLAC2025 #MsaadaWaKisheria #EliakimMaswi #WizaraYaKatibaNaSheria #LegalAidTanzania #HakiKwaWote #Arusha2025