Skip to main content

DADA HALIMA AVUNJA UKIMYA MBELE YA WAZIRI, NI SAKATA LILILO UCHOMA MOYO WAKE KWA MUDA MREFU.

Submitted by admin on 17 May 2025

Dada Halima hatimaye avunja ukimya wake mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria katika tukio lililogusa hisia za wengi. Akiwa na ujasiri na maumivu aliyoyabeba kwa muda mrefu, Halima amesimulia sakata lililomuumiza moyo wake kwa miaka mingi – akiomba haki, usikivu na suluhisho la kudumu.

Katika video hii, utashuhudia ushuhuda wa kusisimua wa mwananchi wa kawaida anayenyanyua sauti kwa ajili ya haki yake. Waziri wa Katiba na Sheria anasikiliza kwa makini, akitoa majibu ya kuleta matumaini kwa Watanzania wote wanaokumbwa na changamoto za kisheria.

🔔 Subscribe ili kufuatilia matukio mengine ya kipekee kuhusu haki, sheria na maisha ya wananchi.

#HakiKwaWote #DadaHalima #MSLAC #WizaraYaSheria #SautiYaMwananchi #UjasiriWaKweli #ElimuYaKisheria