Skip to main content

DKT. NDUMBARO AWASHA NURU YA HAKI SONGEA, ATOA SOMO ZITO LA SHERIA, UCHAGUZI HURU NA UTAWALA BORA

Submitted by admin on 9 May 2025

Katika hotuba ya kihistoria mjini Songea, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa somo la kina kuhusu haki, sheria, uchaguzi huru na utawala bora. Kwa ufasaha na weledi mkubwa, Dkt. Ndumbaro amewaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kuelewa haki zao za kisheria na kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi kwa njia ya amani na uzalendo.

🔥 Ujumbe wake umetia moyo viongozi wa serikali, wanasheria, vijana, na wananchi kwa ujumla – ukisisitiza kuwa haki haipaswi kusubiriwa, bali kufuatwa kwa uelewa na elimu.

📚 Tazama video hii ujifunze kuhusu:

Umuhimu wa elimu ya sheria kwa wananchi wa kawaida

Uchaguzi huru kama msingi wa demokrasia

Utawala bora na wajibu wa viongozi kwa wananchi

Nafasi ya wananchi katika kulinda amani na haki

👉 Usisahau ku LIKE, SHARE na SUBSCRIBE kwa maudhui mengine ya kuelimisha na kuhamasisha maendeleo ya kweli!

#hakikwawote MSLAC #DktNdumbaro #SheriaKwaWote #UchaguziHuru #UtawalaBora #Songea #Tanzania