Skip to main content

HAKI HAIHITAJI FEDHA, INAHITAJI MAARIFA, HILI NDILO TULILOLETA SONGEA, - , WAZIRI DAMAS NDUMBARO

Submitted by admin on 15 May 2025

Zaidi ya wajumbe 800 wa kamati za siasa, viongozi wa serikali za mitaa, wilaya na mashirika mbalimbali wameungana kwenye semina maalum iliyoandaliwa na MSLAC kwa ajili ya kutoa elimu juu ya maendeleo ya jamii, usalama wa jamii, uongozi bora na ushirikishwaji wa wananchi.

Semina hii inalenga kuhamasisha mabadiliko chanya kwenye uongozi wa ngazi za chini kwa lengo la kukuza uwajibikaji na kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

🟒 Usikose! Tazama, shirikisha, na toa maoni yako.

πŸ“ Mahali: Songea

πŸ•’ Muda:

πŸ”” BONYEZA SUBSCRIBE ili usipitwe na matukio makubwa ya maendeleo nchini!