Rukia, mkazi wa eneo hili, amekuwa na kero kubwa baada ya jirani yake kudai sehemu ya ardhi inayomilikiwa naye. Anaeleza kuwa mgogoro ulianza alipokuwa kwenye msiba wa mumewe, na aliporudi nyumbani akakuta jirani amejenga ndani ya eneo lake.
Video hii inaonyesha hatua kwa hatua jinsi usuluhishi ulivyofanyika na jinsi mazungumzo ya amani yanavyoweza kurejesha umoja na upendo katika jamii.
👉 Tazama hadi mwisho ujifunze namna migogoro ya ardhi na mipaka inavyoweza kutatuliwa bila chuki wala mahakama. 📍 Usisahau ku-subscribe ili upate simulizi zaidi za usuluhishi na mafanikio ya jamii yetu.