Adhabu hizi husaidia kupunguza msongamano wa magereza, kuokoa rasilimali za serikali, na kurejesha wahalifu kuwa raia wema.
π¨ββοΈ Je, Tanzania inatekeleza mfumo huu ipasavyo?
π― Jifunze namna mfumo wa sheria unavyolenga haki na si kisasi.
π Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe ili kupata elimu zaidi kuhusu haki, sheria, na mabadiliko katika mfumo wa haki jinai.
#AdhabuMbadala #HakiKwaWote #SheriaTanzania #SamiaLegalAid #MSLAC #JuaHakiYako