Skip to main content

🔴 LIVE: MABALOZI WA MITAA NA WAJUMBE WAO 8000 WANOLEWA UPYA KISHERIA - SONGEA

Submitted by admin on 9 May 2025

Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja kutoka Songea, ambapo mabalozi wa mitaa na wajumbe wao zaidi ya 8,000 wanapatiwa mafunzo ya kina kuhusu sheria, haki za binadamu, uchaguzi huru na utawala bora. Mafunzo haya ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria inayoongozwa na Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro.

Lengo ni kuhakikisha viongozi wa ngazi za chini wanakuwa mabalozi wa amani, haki na uelewa wa kisheria katika jamii wanazozihudumia.

🟢 Fahamu wajibu wa viongozi wa mtaa katika kulinda haki za wananchi

🟢 Tambua nafasi ya sheria katika uchaguzi na utawala bora

🟢 Jifunze jinsi elimu ya kisheria inavyobadilisha maisha ya wananchi

Usikose! Huu ni wakati wa kuijenga Tanzania ya haki kwa vitendo.

#MSLAC2025 #MsaadaWaKisheria #DamasNdumbaro #SongeaLive #ElimuYaSheria #MabaloziWaMtaa #UtawalaBora #Uchaguzi2025 #MamaSamiaKwaWote #SongeaYaMaendeleo #RuvumaLive #HakiKwaWote #SheriaNiMsingi #ViongoziNgaziYaMsingi